Ezekiel 45:6

6 a“ ‘Utatoa mji kama mali yao wenye upana wa dhiraa 5,000
Dhiraa 5,000 ni sawa na kilomita 2.25.
na urefu wa dhiraa 25,000, karibu na sehemu takatifu, itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli.

Copyright information for SwhNEN